Zakwetu – JayNumbaUno (Official Music Video) MP4
Zakwetu - JayNumbaUno (Official Music Video) Zakwetu is the 1st official song off JayNumbaUno's debut album UJANA MOSHI [ 90's BABY 2020's] LYRICS: Nlilala ka nimezima/ Na naamka ka Nimewasha, Natumia vitu nli-sema nimewacha, Nina Manzi na bado kuna manzi nataka, it's complicated ju nimerudia Ex nliacha, Kesho ni siku ya kazi, lakini SIENDI!, Kitu napenda fanya ngumu, kutafanya sipendi, ..Ustie shaka...ustie shaka kaka, mambo itakua poa, nilimshow ivo after anipate bed na dame ameoa, na ni beshte wa mine, Iyo story me huji blame sometimes, kuna bills to pay, na nakata nazo maji, nipunguze stress, stress za kujipea, tushafika stage ya Utanilipia Fare, Radio wana PUSH watu wao, wasee hawablow na wameishi pewa limelight kibao, ni vile hakuna time naezataja wasee thao, Their time is up, key mkononi, niko wa hao... Nilivote mtu wetu nikijua hawezi perform, sijapata job bila dough hakuna form/ naamka naasha Ndom, ivo ndivyo beshte alinisho, beshte wa mine, Expensive date yet kila mtu ako kwa phone, future wife material kwa vida ya Gengetone na thong/ kuna kitu iko wrong, ivo ndivyo mzazi alinishow. Online ni zao, offline sio zao, unadhani ni wao, sio wao, iyo ni kitu nimediscover wacheni niwashow...wacheni niwashow, Nkiwa Mtoto watoto wengine walikatazwa kucheza na mimi, wangeshikwa wangeingia kwa shida mingi, after kila kitu nimeshapitia ndio huyu mimi, JNU na kikosi ni SOH sio HAMSINI, Kijana chapakazi Nairobi sikuja lala, Tangu kitambo me mwanabiashara, Si sipendi hasara, sipendi vile gover inatutawala, Sipendi vile si vijana tumelala, Sipendi vile SI tunabeba gharama...ah ah! Sad wasanii Nligrow up nikiskia ni ka career ziliishia place zilianzia, Wale pia naSKIZISHWA flow ni same kwa songs ka MIA, Alafu utaskia industry Imesinzia!, ZAKWETU, SMG, JAY!!, NEW WAVE KWA MLANGO! Studio Moto Group, Zakwetu...New Wave Kwa Mlango...Hii si Gengetone/SMG. CONTACT: +254722510385 To Get Your Song Featured EMAIL RHEXCLUSIVE01@GMAIL.COM FOR DOWNLOAD VISIT: http://www.rhradio.com/ Facebook: http://www.facebook.com/richyhanieli (Like) Twitter: http://twitter.com/richyhaniel (Follow) Instagram: https://www.instagram.com/richy_haniel_rh/ (Follow)

Recommended for youDescription: Listen, Share & Download Zakwetu – JayNumbaUno (Official Music Video) Video MP4 Rating: 5 out of 5
Follow Us & Like Our Page

Trending Mix! AMPED 27TH APRIL 2015 SET 10 (6,834 Views)

Select your DJ