Stivo Simple Boy – Mapenzi Ya Pesa ( Official Music Video ) Video MP4 & Audio MP3


By - Music Videos | April 22, 2021 (8 Views)Available on all streaming/ Downloading platforms worldwide: ▶SPOTIFY: https://open.spotify.com/track/1LnrRvcpxhdRukX6jWaJhM?si=ZDxVLHNDTc6bj6YVKWwdIg▶Boomplay : https://www.boomplay.com/songs/57140873?srModel=COPYLINK&srList=WEB ▶APPLE Music : https://music.apple.com/us/album/mapenzi-ya-pesa-single/1559821308Written and Composed by Stivo Simple Boy & Byzzo The Baddest. Produced by Phlexible at Made In Kibera Production.Booking Stivo Simple Boy contact management at: +254 712681966 | +254 700438879 Email: stivosimpleboy@gmail.comFollow Stivo Simple Boy: Facebook: https://www.facebook.com/StivoSimpleBoy/ Instagram: https://www.instagram.com/stivosimpleboy/?hl=en Twitter: https://twitter.com/StivoSimple Subscribe to the Stivo Simple Boy official YouTube Channel: https://www.youtube.com/channel/UCHFCLoA7A9ZWGYtW09M_3SwLYRICS: Intro.... Helloo, Tunapigia kutoka kwa radio uipandayo, "Aya nimeshinda?" ( Made In Kibera Production ) Tafadhali punguza sauti ya redio ili tuweze kuwasiliana. Je unadhani mapenzi bila pesa inawezekana? "Unajua mapenzi ya pesa hizi bana kama hauna...." Samahani huyo tumempoteza.. ( Phlexible ) Ndio manake!Chorus Mapenzi ya pesa ni balaa la Mapenzi ya pesa ni karaa ra X 4VERSE 1 Siku hizi mapenzi imekuwa ni Kama biashara Kuchezeana akili Kama paka na panya Hakuna love Kama hauna mkwanja Na ukizipata ni sherehe na furaha Napata kichuna,kwa kweli amenuna Kumuuliza shida gani ashanivuta "Eh Simple boy,mimi nakuzimia,Mimi nakupenda,tena nakutaka" Kama jackpot,nilidhani nimeangukia Nikamuambia Sina hela,akaniambia mapenzi bila pesa haiwezekani Kanyaga kiatu kijana samahani Kama maji kwa mtungi nilitulia tu! Mapenzi si ya pesa ni ya wawili tu! Anayekupenda,pendana naye tu! Asiyekupenda,achana naye tu!VERSE 2 Ukiwa na pesa,wewe ni Kama dhahabu Utawavutia ata wasio kufahamu Utapendwa hadi na maadui na ukisota hawakujui,hawakutambui Ukipita utasifiwa wewe ni baba yao Kama hauna kakiru watakudharau Utadhani ni walimu vile wanakusomea Weh!ilishauma na nikazoea Unampenda juu ya dollar na dollar ikiisha unaanza kuteseka Ye ni sura mbaya kwa wenzako utasema Hana ngongingo,mwanaume ashapayuka Kwa nyumba ni vita tu,hakukaliki tna Kama maji kwa mtungi nilitulia tu Mapenzi si ya pesa ni ya wawili tu! Anayekupenda pendana naye tu! Asiyekupenda achana naye tu!Chorus Mapenzi ya pesa ni balaa Mapenzi ya pesa ni karaa raa X4The Music video The captivating 3 minute " Mapenzi Ya Pesa" music video features Stivo Simple Boy and KiCA Theatre group actresses Maylis Kilonzo and Fernanda Almarza. A wealthy white woman (Fernanda Almarza) falls in love with a young African man ( Stivo Simple Boy) who sells bananas in the street, she invites him to her home where she notices strange behaviors from the man who got into this relationship not for love but for financial benefit in order cater for his African girlfriend ( Maylis Kilonzo) whom he strongly loves, The white woman throws him out of her house after finding out that the man is cheating as well as stealing money from her.Fernanda Almarza is a nurse, midwife and improvisation actress from Chile working in Kenya with the Maisha Foundation, where they support any pregnant women in challenging situations.PRODUCTION TEAM: Director: Geoffrey Oyoo Director Of Photography : Patricia Khavugwi Editor: Geoffrey Oyoo Production Designer: Aysha Amir Production accountant: Simon " Kachwani" Sikote Lighting: Leonard Abiero Playback Sound: Giddy Keys Script: Erick Mutunga, Franklin Orlando Radio Voice Over: Lavasta Bonia, Fire Yedema Production House: Made In Kibera ProductionFollow Phlexible: https://www.facebook.com/Phlexible-774448422565800 Follow Made In Kibera: Facebook: https://www.facebook.com/madeinkibera Instagram: https://www.instagram.com/madeinkiberaprods/?hl=enFollow Fundación Maisha: Facebook: https://www.facebook.com/FundacionMaisha Instagram: https://www.instagram.com/fundacionmaisha/?hl=enFollow Kibera Creative Arts ( KiCA): Facebook: https://www.facebook.com/KICAKIBERA Instagram: https://www.instagram.com/kicakibera/ #StivoSimpleBoy #MapenziYaPesa #NgommaKenyanMusic #MadeInKibera #Ngomma©2021 Made In Kibera Production. All Rights Reserved. ©2021 channel administered by ngomma vas,

Stivo Simple Boy – Mapenzi Ya Pesa  ( Official Music Video ) Stivo Simple Boy – Mapenzi Ya Pesa ( Official Music Video ) - Music Videos $0 123456789 www.mixzote.com
4.5 - "Download DJ Mix Hindu Movie & Music Video MP4 Audio MP3" Listen, Share & Download Stivo Simple Boy – Mapenzi Ya Pesa ( Official Music Video )

- Music Videos Videos You May Like to Download

Select your DJ