Jux – Sina Neno (Official Audio) Video MP4 & Audio MP3


By - Music Videos | September 13, 2021 (8 Views) get-dj-mix

Share This:  Jux releases his fresh new single titled "Sina Neno". This song is dedicated to all his fans. The official audios are now out and available in different platforms. Mapepe and Sawa official audios are out now. KingOfHearts Available Worldwide: http://africori.to/juxthelovealbum.oyd © 2021 African Boy Follow Jux Facebook: https://www.facebook.com/Juma-Jux-553 Instagram: https://www.instagram.com/juma_jux/ Twitter: https://twitter.com/africanboyjux More from Jux: Now You Know ft. Q Chief: https://youtu.be/Y-LhxgM3xS8 Wambela ft. Ruby: https://youtu.be/FsTP1qc9VXA Jux - Sina Neno Lyrics Intro Ayeeeaaa yeee Ayeeeaaa yeee Ayeeeeeee Verse:1 Naona wameremeta Ngozi imenawili, una furaha now Kitanda hakina siri Zao la tendo, una kitumbo wow Mnapendezana Penzi liko kasi kasi Mkipostiana Instagram status Tushafunika kurasa Mambo ya zamani, yalishapita Maisha mengine sasa Kuwa na amani, hakuna vita Pre-Chorus Siiikuchukii nakuombea Maisha mema ya furaha, Mungu aoneshe njia Siiiumiii nimezoea Ila na furaha, kuiona familia (Aaaah aaah) Chorus Niko salama, mimi sina neno. (Aaaah aaah) Utaitwa mama Mtoto mpe upendo (Aaaah aaah) Niko salamaaaa, mimi sina neno. (Aaaah aaah) Utaitwa mama Mtoto mpe upendoo (Aaaah aaah) Uuuuuuuh Iyeeeeee yeee Iyeeeee yeee Iyeeeee yeee Verse:2 Najua unayo furaha Kwa zawadi uliopata Tena ulivyoshujaa Mtoto mama amepata Na nyie msije gombana Mtoto akapata kashi kashi Vizuri kuvumiliana Matatizo mkaya discuss Tushafunika kurasa Mambo ya zamani, yalishapita Maisha mengine sasa Kuwa na amani, hakuna vita Pre-Chorus Siiikuchukii nakuombea Maisha mema ya furaha, Mungu aoneshe njia Siiiumiii nimezoea Ila na furaha, kuiona familia (Aaaah aaah) Chorus Niko salamaaaa, mimi sina neno. (Aaaah aaah) Utaitwa mama Mtoto mpe upendo (Aaaah aaah) Niko salamaaaa, aaaaaah aaah. (Aaaah aaah) Utaitwa mama Mtoto mpe upendoo (Aaaah aaah) #Jux #SinaNeno #KingOfHearts

Watch Online, Share Jux – Sina Neno (Official Audio) Download

Enjoy and stay connected with us for the latest videos like Jux – Sina Neno (Official Audio) and remember to subscribe to their YouTube channel.

Jux – Sina Neno (Official Audio) Jux – Sina Neno (Official Audio) - Music Videos $0 123456789 www.mixzote.com
4.5 - "Download DJ Mix Hindu Movie & Music Video MP4 Audio MP3" Listen, Share & Download Jux – Sina Neno (Official Audio)

Best Top 10 Latest Hot - Music Videos Videos to Download

Select your DJ