Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe (Official Music Video) Download Video MP4 Audio MP3


By - Music Videos | November 10, 2021 (34 Views)get-dj-mix

Share This:  'Bald Men Love Better' EP Out Now: https://ingroov.es/bald-men-love-better-8qp-xWritten by: Bien-Aime Alusa , Aaron H. Rimbui, Benson Mutua Produced By: Bien & Aaron Rimbui Mixed By: Bien, Aaron Rimbui & Victor Mbogo Mastered by: Rob Burrell Recorded By: Victor Mbogo, Trevor Magak Assisted By: Paul Areri, Solomon Wati & Rick Kilonzo Studio: Snowball IndustriesVocals and Instruments: Bien-Aime Alusa - Lead Vocalist Aaron H. Rimbui - Keys/Piano Bass - Asaph Uzele Guitars - Benjamin Kabaseke Drums - Christian Kibamba Background vocals: Okello MaxDirector: Marc DOP: Roadman Production manager: Kefa Odindo Production assistant: Ireri Murugi Camera operator: Hypewily Stylist: Brian babu / Chloe Turner Makeup: Sinita Akello Production Co-ordinator: Chloe TurnerSpecial Thanks: Sauti Sol Entertainment Sol Generation Exodus Entertainment Bien-Aime Alusa & Aaron H. RimbuiMBWE MBWE LyricsKunywa Maji Eh Ukimaliza kunywa pombe Peleka maisha pole pole Raha jipe mwenyewe zitokeKunywa Maji Eh Ukimaliza kunywa pombe Peleka maisha pole pole Raha jipe mwenyewe zitokeSonga ugali Eh Foundation weka ya samaki Ni katikati ya January Kula ukashirishe kamatiTwanga ugali Eh Foundation weka ya samaki Ni katikati ya January Haribu jina jenga mwiliAyoyoAroro Fungua button ya shati imekukaba ko Fungua pia mshipi achilia tumbo Usiogope kukula jasho yako MamamaAroro Nikona size yako yangu 4 by 4 Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh ohHapa ni Mbwe Mbwe Hapana leta shida hapa ni Mbwe Mbwe Hapana leta vita hapa ni Mbwe Mbwe Na ukileta ngori ngumi mbwegze Hapa ni Mbwe MbweHapa ni Mbwe Waiter mbili mbili hapa ni Mbwe Mbwe Wawili Wawili hapa ni Mbwe Mbwe Aroro na BienAime ni Mbwe Mbwe Hapa ni Mbwe MbwePiga kazi eh Kulima sichagui jembe Mzigo wangu wacha ni bebe Jipange ama tukupangeWacha kitu eh Wacha kitu shetani ahepe Si alijileta mwenyewe Hapa ni shangwe tu na Mbwe Mbwe Hapa ni Mbwe MbweAroro Fungua button ya shati imekukaba ko Fungua pia mshipi achilia tumbo Usiogope kukula jasho yako (Kula jasho Yako) MamamaAroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh ohAroro Fungua button ya shati imekukaba ko (fungua button ya shati) Fungua pia mshipi achilia tumbo (Fungua mshipi) Usiogope kukula jasho yako MamamaAroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4) Kadogo mali safi better than before (Than before) Pesa sabuni na inaniosha roho (Osha roho) Oh oh ohHapa ni Mbwe Mbwe*6Huku kwetu Huku masikini na wadosi Kuna ma-barbi na ma-odi Hatupangui rangi ya ngoziLokesheni yetu Badilisha lokesheni Pesa ni mingi pombe haitoshi Nakuemeanza kunuka moshiAroro Fungua button ya shati imekukaba ko (Shati) Fungua pia mshipi achilia tumbo (Tumboi) Usiogope kukula jasho yako MamamaAroro (Roro) Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4) Kadogo mali safi better than before Pesa sabuni na inaniosha roho Oh oh ohMbwe Mbwe *5#MbweMbewe #BaldMenLoveBetter

Watch Online, Share Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe (Official Music Video) Download

Enjoy and stay connected with us for the latest videos like Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe (Official Music Video) and remember to subscribe to their YouTube channel.

Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe (Official Music Video) Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe (Official Music Video) - Music Videos $0 123456789 www.mixzote.com
4.5 - "Download DJ Mix Hindu Movie & Music Video MP4 Audio MP3" Listen, Share & Download Bien x Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe (Official Music Video)

Best Top 10 Latest Hot - Music Videos Videos to Download

Select your DJ